(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Mkoa wa Agnéby - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Agnéby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali pa Mkoa wa Agnéby katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 05°56′N 04°13′W / 5.933°N 4.217°W / 5.933; -4.217
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 4
Mji mkuu Agboville
Eneo
 - Jumla 9,093 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 525,211
GMT (UTC+0)
[1]

Mkoa wa Agnéby (kwa Kifaransa: Région de l'Agnéby) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 525.211. [2] Kati ya makabila ya mkoa ni Waattie na Waabe.

Kuna tarafa nne ambazo ni

Makao makuu yako Agboville.

  1. "Ivory Coast Cities Longitude & Latitude". sphereinfo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2010.
  2. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na