(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Sigma - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Sigma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Αあるふぁ αあるふぁ Alfa 1 Νにゅー νにゅー Ni 50
Βべーた βべーた Beta 2 Ξくしー ξくしー Ksi 60
Γがんま γがんま Gamma 3 Οおみくろん οおみくろん Omikron 70
Δでるた δでるた Delta 4 Πぱい πぱい Pi 80
Εいぷしろん εいぷしろん Epsilon 5 Ρろー ρろー Rho 100
Ζぜーた ζぜーた Dzeta 7 Σしぐま σしぐま ς Sigma 200
Ηいーた ηいーた Eta 8 Τたう τたう Tau 300
Θしーた θしーた Theta 9 Υうぷしろん υうぷしろん Ipsilon 400
Ιいおた ιいおた Iota 10 Φふぁい φふぁい Phi 500
Κかっぱ κかっぱ Kappa 20 Χかい χかい Khi 600
Λらむだλらむだ Lambda 30 Ψぷさい ψぷさい Psi 700
Μみゅー μみゅー Mi 40 Ωおめが ωおめが Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Sho 90
Heta 8 Koppa 90
Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Sigma (Σしぐま σしぐま ς) ni herufi ya 18 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama σしぐま (alama ya kawaida) au Σしぐま (alama kubwa mwanzoni mwa majina). Kama iko mwishoni mwa neno huandikwa ς. Mfano jina Ὀδυσσεύς (Odysseus) ambamo kuna σしぐま mbili katikati na ς mwishoni.

Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 200.

Asili ya sigma ni herufi ya Kifinisia ya shin 𐤔 .

Matamshi yake ilikuwa "s".

Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kilatini kama "S" na katika alfabeti ya Kikirili kama "С".