(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2012 - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2012

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 2012 ulikuwa wa 57 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 6 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Mitt Romney (pamoja na kaimu wake Paul Ryan).

Obama akapata kura 332, na Romney 206. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.