Namba isiyowiana
Mandhari
Namba isiyowiana (kwa Kiingereza: en:irrational number[1]) ni namba halisi ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina ya nambakamili.
Mifano mashuhuri ni kipeuo mraba cha 2 na namba ya duara
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jina la Kilatini-Kiingereza "irrational" haimaanishi "bila akili" ("ratio" kama akili, hekima, en:reason) lakini "bila wianisho" ("ratio" kama uwiano, relation)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Irrational Numbers, kwenye tovuti ya mathisfun.com
- Rational and Irrational Numbers, tovuti ya factmonster.com
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Namba isiyowiana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |