(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kijapani - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kijapani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijapani (日本語にほんご "nihon-go" au "nippon-go" ) ni lugha rasmi nchini Japani. Kinatumiwa na Wajapani karibu wote isipokuwa kundi dogo la Waainu wana lugha yao.

Idadi ya wasemaji

[hariri | hariri chanzo]

Kwa jumla kuna wasemaji milioni 124, karibu wote wakiishi nchini Japan. Kutokana na uhamiaji kuna takriban wasemaji 420,000 nchini Marekani (zaidi ya nusu wako Hawaii) na 380,000 huko Brazil.

Uainishaji

[hariri | hariri chanzo]

Wataalamu hawakubaliani kuhusu historia ya lugha. Lugha ya karibu ya pekee ni lugha za visiwa vya Ryukyu.

Kijapani kinafanana kiasi na Kikorea na kwa kawaida nyingi kimepangwa katika jamii ya lugha za Kialtai. Lakini kuna tabia kadhaa katika Japani ya kale zisizolingana na Kialtai, hivyo majadiliano ya kitaalamu yaendelea.

Lugha imepokea maneno mengi kutoka Kichina.

Mwandiko

[hariri | hariri chanzo]

Kuna namna tatu ya kuandika:

  • hiragana (ひらがな) ni mwandiko wa kawaida. Alama zake zinaonyesha silabi. Watoto wote wanaanza kujifunza kuandika na kusoma kwa hiragana.
Silabi "MU" kwa katakana
  • katakana (カタカナ) ni mwandiko wa silabi pia lakini inatumiwa wa njia maalumu. Kama neno linatakiwa kuangaliwa hasa inaoanyeshwa kwa kutumia alama za katakana (kama maandishi manene au ya kiitaliki). Vilevile hutumiwa kwa maneno yasiyo kawaida kama maneno ya kisayansi au maneno ya kigeni.
  • kanji (漢字かんじ) ni alama za asili ya kichina na kila alama ni neno zima si silabi tu. Kijapanai inatumia alama 2,000 za aina hii.

Inawezekana kuandika Kijapani kwa njia mbili:

a) kama Kiswahili cha kisasa kuanzia upande wa kushoto kwenda kulia

b) Kuanzia juu kwenda chini kwa kutumia nhuzo.

Inayofuata ni mifano ya maneno ya Kijapani:

  • こんにちは (konnichiwa) : Habari zako! (wakati wa mchana)
  • さようなら (sayōnara) : kwa heri
  • はい (hai) : ndiyo
  • いいえ (īe) : hapana
  • 空気くうき (kūki) : hewa
  • みず (mizu) : maji
  • (tsuchi) : mchanga
  • (hi), ほのお (honō) : moto
  • ふう (kaze) : upepo
  • キリスト教きりすときょう (Kirisuto-kyō) : Ukristo
  • イスラム教いすらむきょう (Isuramu-kyō), イスラームきょう(Isurāmu-kyō) : Uislamu
  • 仏教ぶっきょう (Bu-kkyō) : Ubuddha
  • 神道しんとう (Shintō) : Shinto
  • ヒンドゥーきょう (Hindwū-kyō), ヒンズひんずきょう (Hinzū-kyō) : Uhindu
  • さかな (sakana) : samaki
  • むし (mushi) : mdudu
  • はな (hana) : ua
  • くろ (kuro) : eusi
  • しろ (shiro) : vit
  • あか (aka) : nyekundu
  • あお (ao) : buluu
  • 黄色おうしょく (ki-iro) : kimanjano
  • みどり (midori) : kijani kibichi
  • 金色きんいろ (kin-iro) : dhahabu rangi
  • 銀色ぎんいろ (gin-iro) : fedha rangi
  • 茶色ちゃいろ (cha-iro) : kahawia
  • 橙色だいだいいろ (daidai-iro) : machungwa
  • そら (sora) : mbingu
  • うみ (umi) : bahari
  • りく (riku)), 大地だいち (daichi) : ardhi
  • やま (yama) : mlima
  • かわ (kawa) : mto
  • かみなり (kaminari) : radi
  • あめ (ame) : mvua
  • くも (kumo) : wingu
  • 平和へいわ (hēwa) : amani
  • 戦争せんそう (sensō) : vita
  • ブルンジ (Burunji), ブルンジ共和きょうわこく (Burunji kyōwakoku) : Jamhuri ya Burundi
  • ケニア (Kenia) , ケニヤ (Keniya), ケニア共和きょうわこく (Kenia kyōwakoku) : Jamhuri ya Kenya
  • コモロ (Komoro), コモロ連合れんごう (Komoro rengō) : Umoja wa Komori
  • コンゴ民主みんしゅ共和きょうわこく (Kongo minshu kyōwakoku) : Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
  • マヨット (Mayotto) : Kisiwa cha Mahore
  • マラウイ (Maraui), マラウイ共和きょうわこく (Maraui kyōwakoku) : Jamhuri ya Malawi
  • モザンビーク (Mozanbīku), モザンビーク共和きょうわこく (Mozanbīku kyōwakoku) : Jamhuri ya Msumbiji
  • ルワンダ (Ruwanda), ルワンダ共和きょうわこく (Ruwanda kyōwakoku) : Jamhuri ya Rwanda
  • ソマリア (Somaria) : Somalia
  • タンザニア (Tanzania), タンザニヤ (Tanzaniya), タンザニア連合れんごう共和きょうわこく (Tanzania rengō kyōwakoku) : Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • ウガンダ (Uganda), ウガンダ共和きょうわこく (Uganda kyōwakoku) : Jamhuri ya Uganda
  • ヨーロッパ (おうともみ) (Yōroppa), 欧州おうしゅう (Ōshū) : Ulaya
  • アジア (亜細亜あじあ) (Ajia) : Asia
  • アメリカしゅう (Amerika-shū) : Amerika
  • オセアニア (Oseania), 大洋たいようしゅう(Taiyō-shū) : Australia na Pasifiki
  • 南極なんきょく (Nankyoku), 南極大陸なんきょくたいりく (Nankyoku tairiku) : Bara la Antaktiki
  • 日本にっぽん (Nihon au Nippon), 日本にっぽんこく (Nihon koku au Nippon koku) : Ujapani, Japani
  • アメリカ(亜米利加あめりか) (Amerika), 米国べいこく (Bē-koku), アメリカ合衆国あめりかがっしゅうこく (Amerika gasshūkoku) : Marekani, Muungano wa Madola ya Amerika
  • 中国ちゅうごく (Chuugoku), 中華人民共和国ちゅうかじんみんきょうわこく (Chūka jinmin kyōwakoku) : Jamhuri ya Watu wa China
  • フランス(仏蘭西ふらんす) (Furansu), ふつこく (Futsu-koku), フランス共和きょうわこく (Furansu kyōwakoku) : Jamhuri ya Kifaransa
  • イギリス(えい吉利よしとし) (Igirisu), 英国えいこく (Ē-koku), グレートブリテンおよびきたアイルランド連合れんごう王国おうこく (Gurēto Buriten oyobi Kita Airurando rengō ōkoku) : Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini
  • ロシア(露西亜ろしあ) (Roshia), ロシヤ (Roshiya), ロシア連邦れんぽう (Rosia renpō) : Shirikisho la Urusi
  • アルゼンチン(なんじしかひのと) (Aruzenchin), アルゼンチン共和きょうわこく (Aruzenchin-kyōwakoku) : Jamhuri ya Argentina
  • オーストラリア(ほりふとし剌利) (Ōsutoraria), オーストラリヤ (Ōsutorariya), オーストラリア連邦れんぽう(Ōsutoraria renpō) : Jumuiya ya Australia
  • ブラジル(はく剌西なんじ) (Burajiru), ブラジル連邦れんぽう共和きょうわこく (Burajiru renpō kyōwakoku) : Shirikisho la Jamhuri ya Brazil
  • カナダ(奈陀) (Kanada) : Kanada
  • ドイツ(独逸どいつ) (Doitsu), ドイツ連邦れんぽう共和きょうわこく (Doitsu renpō kyōwakoku) : Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani
  • インド(印度いんど) (Indo) : Jamhuri ya Uhindi
  • インドネシア(印度いんどあま西にし) (Indoneshia), インドネシヤ (Indoneshiya), インドネシア共和きょうわこく (Indoneshia kyōwakoku) : Jamhuri ya Indonesia
  • イタリア (伊太利いたりあ) (Itaria), イタリヤ (Itariya), イタリア共和きょうわこく (Itaria kyōwakoku) : Jamhuri ya Italia
  • メキシコ(ぼく西にし哥) (Mekishiko), メキシコ合衆国がっしゅうこく (Mekishiko gasshūkoku) : Maungano a Madola ya Mexiko
  • サウジアラビア (Sauji arabia), サウジアラビア王国おうこく (Sauji arabia ōkoku) : Ufalme wa Uarabuni wa Saudia
  • みなみアフリカ共和きょうわこく(みなみおもねどる利加りか共和きょうわこく) (Minami Afurika kyōwakoku) : Jamhuri ya Afrika Kusini
  • 韓国かんこく (Kan-koku), 大韓民国だいかんみんこく (Dai Kan minkoku) : Jamhuri ya Korea
  • トルコ(みみいにしえ) (Toruko), トルコ共和きょうわこく (Toruko kyōwakoku) : Jamhuri ya Uturuki
  • 国際こくさい連合れんごう (Kokusai rengō)、国連こくれん (Kokuren) : Umoja wa Mataifa
  • NATO, ナトー (Natō), 北大西洋きたたいせいよう条約じょうやく機構きこう (Kita taisēyō jōyaku kikō) : Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini
  • ヨーロッパ連合れんごう (Yōroppa rengō), 欧州おうしゅう連合れんごう (Ōshū rengō), EU (Ī-yū) : Umoja wa Ulaya

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]