Kijapani
Kijapani (
Idadi ya wasemaji
Kwa jumla kuna wasemaji milioni 124, karibu wote wakiishi nchini Japan. Kutokana na uhamiaji kuna takriban wasemaji 420,000 nchini Marekani (zaidi ya nusu wako Hawaii) na 380,000 huko Brazil.
Uainishaji
Wataalamu hawakubaliani kuhusu historia ya lugha. Lugha ya karibu ya pekee ni lugha za visiwa vya Ryukyu.
Kijapani kinafanana kiasi na Kikorea na kwa kawaida nyingi kimepangwa katika jamii ya lugha za Kialtai. Lakini kuna tabia kadhaa katika Japani ya kale zisizolingana na Kialtai, hivyo majadiliano ya kitaalamu yaendelea.
Lugha imepokea maneno mengi kutoka Kichina.
Mwandiko
Kuna namna tatu ya kuandika:
- hiragana (ひらがな) ni mwandiko wa kawaida. Alama zake zinaonyesha silabi. Watoto wote wanaanza kujifunza kuandika na kusoma kwa hiragana.
- katakana (カタカナ) ni mwandiko wa silabi pia lakini inatumiwa wa njia maalumu. Kama neno linatakiwa kuangaliwa hasa inaoanyeshwa kwa kutumia alama za katakana (kama maandishi manene au ya kiitaliki). Vilevile hutumiwa kwa maneno yasiyo kawaida kama maneno ya kisayansi au maneno ya kigeni.
- kanji (
漢字 ) ni alama za asili ya kichina na kila alama ni neno zima si silabi tu. Kijapanai inatumia alama 2,000 za aina hii.
Inawezekana kuandika Kijapani kwa njia mbili:
a) kama Kiswahili cha kisasa kuanzia upande wa kushoto kwenda kulia
b) Kuanzia juu kwenda chini kwa kutumia nhuzo.
Mifano
Inayofuata ni mifano ya maneno ya Kijapani:
- こんにちは (konnichiwa) : Habari zako! (wakati wa mchana)
- さようなら (sayōnara) : kwa heri
- はい (hai) : ndiyo
- いいえ (īe) : hapana
地球 (chikyū) : dunia太陽 (taiyō) : jua月 (tsuki) : Mwezi (gimba la angani)神 (kami) : miungu命 (inochi) : uhai死 (shi) : kifo
キリスト教 (Kirisuto-kyō) : Ukristoイスラム教 (Isuramu-kyō), イスラーム教 (Isurāmu-kyō) : Uislamu仏教 (Bu-kkyō) : Ubuddha神道 (Shintō) : Shinto- ヒンドゥー
教 (Hindwū-kyō),ヒンズ ー教 (Hinzū-kyō) : Uhindu
鼠 (nezumi) : panya牛 (ushi) : ng'ombe虎 (tora) : tiger兎 (usagi) : sungura龍 (ryu) : joka蛇 (hebi) : nyoka馬 (uma) : farasi羊 (hitsuji) : kondoo猿 (saru) : kima鶏 (niwatori) : kuku鳥 (tori) : ndege (mnyama)犬 (inu) : mbwa猪 (inoshishi) : ngiri豚 (buta) : nguruwe-kaya
熊 (kuma) : dubu- チーター (chītā) : duma
- ハイエナ (haiena) : fisi
- ゴリラ (gorira) : gorilla
河馬 (kaba) : kiboko犀 (sai) : kifaru鰐 (wani) : mamba (mnyama)象 (zō) : ndovu- ラクダ (rakuda) : ngamia
猫 (neko) : paka縞馬 (shima-uma) : punda milia- ライオン (raion) : simba
麒麟 (kirin) : twiga
黒 (kuro) : eusi白 (shiro) : vit赤 (aka) : nyekundu青 (ao) : buluu黄色 (ki-iro) : kimanjano緑 (midori) : kijani kibichi金色 (kin-iro) : dhahabu rangi銀色 (gin-iro) : fedha rangi茶色 (cha-iro) : kahawia橙色 (daidai-iro) : machungwa
空 (sora) : mbingu海 (umi) : bahari陸 (riku)),大地 (daichi) : ardhi山 (yama) : mlima川 (kawa) : mto雷 (kaminari) : radi雨 (ame) : mvua雲 (kumo) : wingu
- スワヒリ
語 (Suwahiri-go) : Kiswahili - アフリカ(
阿 弗 利加 ) (Afurika) : Afrika 東 アフリカ共同 体 (Higashi Afurika kyōdōtai) : Jumuiya ya Afrika ya Mashariki- アフリカ
連合 (Afurika rengō) : Umoja wa Afrika
- ブルンジ (Burunji), ブルンジ
共和 国 (Burunji kyōwakoku) : Jamhuri ya Burundi - ケニア (Kenia) , ケニヤ (Keniya), ケニア
共和 国 (Kenia kyōwakoku) : Jamhuri ya Kenya - コモロ (Komoro), コモロ
連合 (Komoro rengō) : Umoja wa Komori - コンゴ
民主 共和 国 (Kongo minshu kyōwakoku) : Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - マヨット (Mayotto) : Kisiwa cha Mahore
- マラウイ (Maraui), マラウイ
共和 国 (Maraui kyōwakoku) : Jamhuri ya Malawi - モザンビーク (Mozanbīku), モザンビーク
共和 国 (Mozanbīku kyōwakoku) : Jamhuri ya Msumbiji - ルワンダ (Ruwanda), ルワンダ
共和 国 (Ruwanda kyōwakoku) : Jamhuri ya Rwanda - ソマリア (Somaria) : Somalia
- タンザニア (Tanzania), タンザニヤ (Tanzaniya), タンザニア
連合 共和 国 (Tanzania rengō kyōwakoku) : Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - ウガンダ (Uganda), ウガンダ
共和 国 (Uganda kyōwakoku) : Jamhuri ya Uganda
- ヨーロッパ (
欧 羅 巴 ) (Yōroppa),欧州 (Ōshū) : Ulaya - アジア (
亜細亜 ) (Ajia) : Asia - アメリカ
州 (Amerika-shū) : Amerika - オセアニア (Oseania),
大洋 州 (Taiyō-shū) : Australia na Pasifiki 南極 (Nankyoku),南極大陸 (Nankyoku tairiku) : Bara la Antaktiki
日本 (Nihon au Nippon),日本 国 (Nihon koku au Nippon koku) : Ujapani, Japani- アメリカ(
亜米利加 ) (Amerika),米国 (Bē-koku),アメリカ合衆国 (Amerika gasshūkoku) : Marekani, Muungano wa Madola ya Amerika 中国 (Chuugoku),中華人民共和国 (Chūka jinmin kyōwakoku) : Jamhuri ya Watu wa China- フランス(
仏蘭西 ) (Furansu),仏 国 (Futsu-koku), フランス共和 国 (Furansu kyōwakoku) : Jamhuri ya Kifaransa - イギリス(
英 吉利 ) (Igirisu),英国 (Ē-koku), グレートブリテンおよび北 アイルランド連合 王国 (Gurēto Buriten oyobi Kita Airurando rengō ōkoku) : Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini - ロシア(
露西亜 ) (Roshia), ロシヤ (Roshiya), ロシア連邦 (Rosia renpō) : Shirikisho la Urusi
- アルゼンチン(
亜 爾 然 丁 ) (Aruzenchin), アルゼンチン共和 国 (Aruzenchin-kyōwakoku) : Jamhuri ya Argentina - オーストラリア(
濠 太 剌利) (Ōsutoraria), オーストラリヤ (Ōsutorariya), オーストラリア連邦 (Ōsutoraria renpō) : Jumuiya ya Australia - ブラジル(
伯 剌西爾 ) (Burajiru), ブラジル連邦 共和 国 (Burajiru renpō kyōwakoku) : Shirikisho la Jamhuri ya Brazil - カナダ(
加 奈陀) (Kanada) : Kanada - ドイツ(
独逸 ) (Doitsu), ドイツ連邦 共和 国 (Doitsu renpō kyōwakoku) : Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani - インド(
印度 ) (Indo) : Jamhuri ya Uhindi - インドネシア(
印度 尼 西 亜 ) (Indoneshia), インドネシヤ (Indoneshiya), インドネシア共和 国 (Indoneshia kyōwakoku) : Jamhuri ya Indonesia - イタリア (
伊太利 亜 ) (Itaria), イタリヤ (Itariya), イタリア共和 国 (Itaria kyōwakoku) : Jamhuri ya Italia - メキシコ(
墨 西 哥) (Mekishiko), メキシコ合衆国 (Mekishiko gasshūkoku) : Maungano a Madola ya Mexiko - サウジアラビア (Sauji arabia), サウジアラビア
王国 (Sauji arabia ōkoku) : Ufalme wa Uarabuni wa Saudia 南 アフリカ共和 国 (南 阿 弗 利加 共和 国 ) (Minami Afurika kyōwakoku) : Jamhuri ya Afrika Kusini韓国 (Kan-koku),大韓民国 (Dai Kan minkoku) : Jamhuri ya Korea- トルコ(
土 耳 古 ) (Toruko), トルコ共和 国 (Toruko kyōwakoku) : Jamhuri ya Uturuki
国際 連合 (Kokusai rengō)、国連 (Kokuren) : Umoja wa Mataifa- NATO, ナトー (Natō),
北大西洋 条約 機構 (Kita taisēyō jōyaku kikō) : Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini - ヨーロッパ
連合 (Yōroppa rengō),欧州 連合 (Ōshū rengō), EU (Ī-yū) : Umoja wa Ulaya
Viungo vya nje
- makala za OLAC kuhusu Kijapani Archived 17 Mei 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijapani katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jpn
- Japanese dictionary
- List of Japanese Kanji characters Archived 13 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- Kana Copybook (PDF)
- AKSER Brasil - Kijapani - Let´s Learn Japanese - Videos Archived 2 Februari 2009 at the Wayback Machine.